Unda CV inayovutia waajiri kwa kutumia lugha ya Kiswahili rahisi, huku tukikupa CV ya Kiingereza yenye weledi wa hali ya juu na ubora uliothibitishwa.
Software Engineer
Email: amina.hassan@email.com
Phone: +255 123 456 789
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Tech Solutions Ltd
Digital Agency Tanzania
University of Dar es Salaam
JavaScript, Python, React, PHP, MySQL, MongoDB
CV zinazopita kwenye mifumo ya kisasa ya kuchuja wafanyakazi.
PDF nzuri na yenye mwonekano safi bila ukungu wowote.
Jaza kwa Kiswahili, pata CV ya Kiingereza yenye weledi.
Jaza maelezo yako kupitia fomu rahisi za Kiswahili.
Chagua mwonekano wa CV unaopenda zaidi.
Pata CV yako ya Kiingereza ikiwa tayari kwa sekunde chache.